Baadhi ya Sababu za Ugonjwa huu hatari.
- Uzito wa mwili kupita kiasi
- Umri mkubwa (Ikiwemo kupata mtoto wa kwanza katika umri mkubwa)
- Historia ya familia na ugonjwa wa saratani ya matiti
- Kuto Kufanya mazoezi kimwili
- Matumizi ya pombe
- Uvutaji wa sigara
- Lishe isiyofaa / Isiyo bora (ikiwemo ulaji wa vyakula vya haraka kwa wingi (fast food)
- Kupitia hedhi mapema au kuingia ukomo mapema
- Dawa za homoni/vidonge vya uzazi bila ushauri wa madaktari.
- Mazingira yenye vichocheo vya saratani.
Kwa Ushauri zaidi fika kituoni kwetu JJ Polyclinic tupo karatu mjini tunatizamanana na Benki za CRDB na NMB. Simu namba: 0762 858 888.
Tunatoa huduma ya Madaktari wa kawaida na Madaktari bingwa.
KINGA Ni Bora Kuliko TIBA ” NJOO UPIME AFYA YAKO”
