preloader
Edit Content

Our Location

We are a Specialised Polyclnic located at Karatu area in Arusha Region. 

Contact Info

Saratani ya Matiti: Sababu 10 Za Ugonjwa Huu Hatari.

  • Home
  • -
  • Ijue Afya Yako
  • -
  • Saratani ya Matiti: Sababu 10 Za Ugonjwa Huu Hatari.
Saratani ya Matiti: Sababu 10 Za Ugonjwa Huu Hatari.

Baadhi ya Sababu za Ugonjwa huu hatari.

  1. Uzito wa mwili kupita kiasi
  2. Umri mkubwa (Ikiwemo kupata mtoto wa kwanza katika umri mkubwa)
  3. Historia ya familia na ugonjwa wa saratani ya matiti
  4. Kuto Kufanya mazoezi kimwili
  5. Matumizi ya pombe
  6. Uvutaji wa sigara
  7. Lishe isiyofaa / Isiyo bora (ikiwemo ulaji wa vyakula vya haraka kwa wingi (fast food)
  8. Kupitia hedhi mapema au kuingia ukomo mapema
  9. Dawa za homoni/vidonge vya uzazi bila ushauri wa madaktari.
  10. Mazingira yenye vichocheo vya saratani.
    Kwa Ushauri zaidi fika kituoni kwetu JJ Polyclinic tupo karatu mjini tunatizamanana na Benki za CRDB na NMB. Simu namba: 0762 858 888.
    Tunatoa huduma ya Madaktari wa kawaida na Madaktari bingwa.
    KINGA Ni Bora Kuliko TIBA ” NJOO UPIME AFYA YAKO”
Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *